Habari Kuu Ulaya — 02 April 2014

Michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya imeendelea tena katikati ya wiki hii kwa hatua ya robo fainali.

Timu nane zimebaki zikitafuta nafasi ya kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali huku michuano ikiwa kwenye ushindani wa hali ya juu.

Bingwa mtetezi wa michuano hiyo ni klabu kutoka Ujerumani,bayern Munich ikiwa inataka kutetea msimu huu na kuweka rekodi ya kuchukua mfululizo.

 

Yafuatayo ni matokeo pamoja na ratiba ya michezo ya robo fainali raundi ya kwanza:
Jumanne:
'Atletico draw a bad result' - Xavi
FT: Barcelona 1 - 1 Atletico Madrid
FT: Manchester United 1 - 1 Bayern Munich
Jumatano:
FT: Paris Saint German 3 - 1 Chelsea
FT: Real Madrid 3 - 0 Borussia Dortmund

Maoni

Share

About Author

Jack

(0) Maoni ya Wanakandanda

Please Login to post a comment

Login with:
Powered by Sociable!

Password Reset

Please enter your e-mail address. You will receive a new password via e-mail.