Ulaya

Liverpool yarudi kileleni Uingereza.

Klabu ya Liverpool jana(Jumapili)ilifanikiwa kuifunga West Ham United goli 2-1 na kuweza kurudi kushika usukani wa ligi kuu ya Uingereza. Penati mbili kutoka kwa Steven Gerrard zilitosha kuipa Liverpool ushindi huo mgumu katika dimba la Upton [...]

Rodgers:Tunatazamia kuendelea kushinda.

Meneja wa Liverpool,Brendan Rodgers ameonyesha malengo yake ya kupata ushindi wa michezo 10 mfululizo pale vinara hao wa ligi kuu ya Uingereza watakapokutana na Manchester City Jumapili ijayo. Kikosi hicho cha Anfield kiliendeleza ushindi wa tisa [...]

Wenger:Tunapaswa kuamka na kupambana.

Arsene Wenger hakuwa na chakujitetea mara baada ya Arsenal kufungwa goli 3-0 dhidi ya Everton Jumapili pale Goodson Park na kuwaacha katika hali ngumu ya kuwania kumaliza kwenye nafasi nne za juu kwenye ligi kuu ya Uingereza. [...]

Everton 3 – 0 Arsenal

Ligi kuu ya Uingereza inaendelea leo kwa michezo miwili huku katika mchezo wa kwanza Everton watakuwa nyumbani kuikaribisha Arsenal. Katika mchezo wa pili utazikutanisha West Ham na Liverpool kwenye dimba la Upton park. Arsenal wakiwa walianza [...]

Liverpool kusafiri mpaka Upton Park wakiwa na matumaini ya kuendeleza ushindi.

Klabu ya Liverpool inasafiri kwenda kuikabili West Ham Jumapili huku ikitazamia kuendeleza ushindi wake na kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi wakati itakapo kuwa imebaki michezo mitano pekee. Mara baada ya kushinda michezo nane mfululizo,wekundu hao [...]

Wenger:Arsenal haijakata tamaa ya Ubingwa.

Meneja wa Arsenal,Arsene Wenger anasisitiza kuwa timu yake haijakata tamaa ya matumaini ya kushinda taji la ligi kuu ya Uingereza msimu huu. Kikosi cha Wenger kimepoteza muelekeo kwa wiki kadhaa na kipo nyuma ya vinara wa [...]

Mourinho:Tunaendelea kupambana ila msimamo hauko sahihi.

Meneja wa Chelsea,Jose Mourinho anasisitiza kuwa bado wataendelea kupambania Ubingwa lakini hawajapata msisimko wowote kuhusu kurudi kileleni kwani hawana bahati yeyote mikononi mwao. Chelsea wamerejea kileleni mwa msimamo mara baada ya kushinda goli 3-0 dhidi ya [...]

Ratiba ya michezo ya ligi kuu ya Uingereza.

Ligi kuu ya Uingereza inaendelea tena wikiendi hii kwa michezo 10 kupigwa katika viwanja tofauti. Timu nyingi zitakuwa zinacheza michezo ya 33 huku baadhi zikiwa na michezo pungufu kutokana na ratiba kuingiliana siku za nyuma. Liverpool [...]

Ratiba ya ligi kuu ya Uhispania.

Ligi kuu ya Uhispania inataraji kuendelea wikiendi hii kwa michezo ya mzunguko wa 32. Atletico Madrid,Barcelona na Real Madrid wamekuwa wakipambana vikali katika mbio za Ubingwa wa ligi hiyo maarufu kama La Liga. Mchezo mmoja ulipigwa [...]

Gerrard:Hatuna wasiwasi na Man City wala Chelsea.

Nahodha wa Liverpool,Steven Gerrard ameweka wazi kuwa anajaribu kutokuwa na wasiwasi kutokana na kuwa na uwezekano na kushinda taji la ligi kuu ya Uingereza. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 33 anapewa heshima kubwa katika kipindi [...]

Password Reset

Please enter your e-mail address. You will receive a new password via e-mail.