Msuva afurahishwa na kipigo cha Simba kilichonogesha Ubingwa.
May 22, 2013MSUVA, SIWA : 2-0 MALENGO YETU YALITIMIA. Kiungo mshambuliaji wa pembeni wa mabingwa wa Tanzania Bara, timu ya soka ya Yanga, Saimon Msuva amesema ushindi walioupata jana dhidi ya mahasimu wao wa soka nchini, Simba ulitosha kukata kiu yao ya […]
TFF kutoa msaada wa safari mechi ya Taifa Stars na Morocco.
May 21, 2013Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litasaidia upatikanaji wa visa kwa waandishi wa habari na Watanzania wengine wanaotaka kwenda Morocco kushuhudia mechi kati ya Taifa Stars na Morocco itakayochezwa Juni 8 mwaka huu jijini Marrakech, Morocco. Kwa ambao […]
Ngassa sasa rasmi Yanga.
May 21, 2013Mrisho Khalifan Ngassa amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea tena klabu ya Yanga ambayo alishaichezea zamani,kabla ya kusajiliwa kwa kitita kikubwa na Azam Fc. Ngassa alikuwa akichezea Simba kwa makataba wa mwaka mmoja na umemalizika mara baada ya pazia la […]
Liewing kutupiwa virago Simba.
May 21, 2013Kocha mkuu wa mabingwa wa zamani Simba,Patrick Liewing huenda akaachana na timu hiyo mara baada ya kuwa na msimu mbaya uliomalizika Mei 18 mwaka huu. Wekundu hao wa msimbazi huenda wakamfukuza kocha huyo baada ya timu hiyo kushika nafasi ya […]







Ligi Kuu Uingereza
Habari
Ferguson amaliza mechi yake ya mwisho kwa rekodi.
Arsenal wafuzu ligi ya mabingwa,Spurs akimaliza watano.
Carragher kuachana na Liverpool leo.
Arsenal na Tottenham nani kufuzu Ulaya leo.
Benitez kupewa Everton na Moyes leo.
Ligi kuu England yafika tamati leo.